Felix Aweda
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 507
- 145
Malimbe ndo mtaa wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kwako napajua. Ukirudi TZ ntakuja kukusabahiIlemera karibu na Rfa
Kule mkuu ni Kayenze kubwa, kata ya Sangabuye...
Kayenze ndogo ni hapa kutoka airport kama unaenda Igombe, kata ya Bugogwa,,, tunao mwalo maarufu sana kwa Sangara na Dagaa. Hapa kila siku sherehe tu.
shooters club-Kirumba
karibu Malimbe
Preta, mbona niko isamilo sijawahi kukuona mum!
Mleta mada, tulishaitana sana wana mwanza tukutane lakini watu hamtokei, tulishakutana kama mara mbili pale rock beach (mgahawa wa wachina) lakini watu hamjitokezi, tunaokutana ni watu wale wale wawili watatu
kkaribu kwa masha