Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Kona ya kwenda Brewaries upande wa kulia kuelekea Airport. Sio kiwanja maarufu sana ila kwa maelezo ya jamaa hapo ni karibu na kwake na strong ruler
Nami ndo mlezi wa JF ROCK CITY WING.
Heshima kwenu wote.
umenikumbusha mbali TX. tulikuwa tunapangana barabarani tukiwa tunatoka shule Isenga p/school. yakipita magari ya TX utasikia yangu
Isamilo.......
Mkuu umesoma Isenga? Dah karibu na ofisini kwangu mitaa hiyo
Mhhh, nadhani hii ni kamba, tena ya nailoni, kama siyo ya chuma!
Mkuu ingawa sipo kitambo ila hiyo ndio mitaa yangu typical nayajua hadi mashimo ya barabarani.
Igogo huko tena, igogo ipi sasa Morafu, Pepsi, au mlimani?
Mhhh, nadhani hii ni kamba, tena ya nailoni, kama siyo ya chuma!
Nimekuelewa. Na wewe nielewe.
Hahahaa, dah! kweli mkuu naona huwa tunapishana tu mimi mwenyewe hiyo ndiyo mitaa yangu mkuu, mihangaiko tu ndiyo ilinitoa huko.
Wewe jirani yangu, biashara unazifanyia hapo sokoni kwetu kirumba au wap? Mimi pia naishi kirumba karibia na iliyokuwa moonlight hotel.
umenikumbusha mbali TX. tulikuwa tunapangana barabarani tukiwa tunatoka shule Isenga p/school. yakipita magari ya TX utasikia yangu
Ok ninapajua hapo, dah opposite kuna hotel moja mabaazaz wanaipenda sana, asante mkuu