Tujuane wana JF wa Mwanza

Tujuane wana JF wa Mwanza

Kayenze kwa Waarabu wenye machacha napapata sana hapo ni zaidi ya zanzibar upepo mtam minazi na watoto wa kiaarabu rukuki..
Kule mkuu ni Kayenze kubwa, kata ya Sangabuye...

Kayenze ndogo ni hapa kutoka airport kama unaenda Igombe, kata ya Bugogwa,,, tunao mwalo maarufu sana kwa Sangara na Dagaa. Hapa kila siku sherehe tu.
 
Kule mkuu ni Kayenze kubwa, kata ya Sangabuye...

Kayenze ndogo ni hapa kutoka airport kama unaenda Igombe, kata ya Bugogwa,,, tunao mwalo maarufu sana kwa Sangara na Dagaa. Hapa kila siku sherehe tu.

Napajua sana hapo mwaloni siochezo
 
Kizoo??? Hebu nifafanulie hili jina mkuu

Ni mzeee maarufu sanaaa, butimba anajulikana sana na alishawai kuwa mkuu wa chuo cha butimba, ....... ana familia kubwa sana kijilima cha kuelekea butimba magereza.....
 
Ilemera karibu na Rfa

Hahahaaa, Mkuu nimekukubali unasafiri na ungo?! Kumbe upo ilemela, mimi nimejichimbia Igogo hapa, gari acha voil kabisa ndiyo upande huku kwa mguu, kona mbili tatu huwezi kupotea, ila usisahau mwavuli na gambuti, ikifika saa kumi na mbili usije maana utapigwa ngeta!
 
Nimekuelewa. Na wewe nielewe.
image.jpg
 
Back
Top Bottom