Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Kayenze Ndogo hapa Igombe...
Kama unataka vitu fresh, dagaa, furu just tupiamo ka PM...[/QUO
Mkuu ntalpata nembe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kayenze Ndogo hapa Igombe...
Kama unataka vitu fresh, dagaa, furu just tupiamo ka PM...[/QUO
Mkuu ntalpata nembe?
Kumbe uko hapa twn?
Nyasaka stand
Kayenze Ndogo hapa Igombe...
Kama unataka vitu fresh, dagaa, furu just tupiamo ka PM...[/QUO
Mkuu ntalpata nembe?
Nembe, Mumi wote unapata, ila huwa tunawatoa asubuhi sana na wanagombewa kama mpira wa kona kwa kuwa wamepungua sana ziwani.
Kha...!!
Iloganzara hapa nyuma ya tanesco
Ndio sijaelewa........
Kayenze Ndogo hapa Igombe...
Kama unataka vitu fresh, dagaa, furu just tupiamo ka PM...
unamjua damulu au kizo.
Kule mkuu ni Kayenze kubwa, kata ya Sangabuye...Kayenze kwa Waarabu wenye machacha napapata sana hapo ni zaidi ya zanzibar upepo mtam minazi na watoto wa kiaarabu rukuki..
me ndio nipo gizani hata sielewi nini kinaendelea...
Nyerere Road
Kule mkuu ni Kayenze kubwa, kata ya Sangabuye...
Kayenze ndogo ni hapa kutoka airport kama unaenda Igombe, kata ya Bugogwa,,, tunao mwalo maarufu sana kwa Sangara na Dagaa. Hapa kila siku sherehe tu.
Kizoo??? Hebu nifafanulie hili jina mkuu
Ilemera karibu na Rfa