Baraker_88
Member
- Nov 7, 2021
- 35
- 88
Kama Tshs 1,867,500/=Makadirio kiasi gani mpaka hapo ulipofikia Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Tshs 1,867,500/=Makadirio kiasi gani mpaka hapo ulipofikia Mkuu?
Ni Daslam mkuu?.. mi nna kama 5 M naogopa kuanza msingi .. nataka nikiaza at least nimalize msingi na shimo.. ila sasa sijui ka itatosha ndo hofu yanguKama Tshs 1,867,500/=
Sio dar Mkuu , ni KageraNi Daslam mkuu?.. mi nna kama 5 M naogopa kuanza msingi .. nataka nikiaza at least nimalize msingi na shimo.. ila sasa sijui ka itatosha ndo hofu yangu
Wenye nyumba kali tutembee kifua mbele.
Nina uhakika kuwa utajenga banda la Ng'ombe kisha utadai kuwa ni nyumba!