Tujue Gharama inayotumika kujaza Polisi barabarani

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Kwa sasa imekuwa kawaida na watoto wamekuwa wakishangazwa na hali ya sasa. Watoto wanauliza kwanini tunaona polisi na guns mitaani? - Je wanataka kutuua? —

Hii ni historia mbaya kwa TZ na kwa amani ya mchongo over 60 years.

CCM mjiandae na hali hii kwa maana tatizo sio kuwa Samia hatakiwi: tatizo ni Generation has changed… it is not going to end until mbadili namna mnavyofikiri

Swali la msingi : polisi kusimama njiani wana kula allowance kama tatu hivi

1. Health allowance maana wanashinda kwa Jua na vumbi full day na wengi ni poor family hawana maisha
2. Risk allowance ( kuuliwa na kugongwa na gari au kuvamiwa) kama wale polisi waliokufa Oct 29
3. Half perdiem Hii pia wanalipwa

Na hizo allowance zote zinaendana na rank ya polisi

Expenditure jeshi la polisi ime double over 70% of forecasted budget

Na kwa taarifa chini ya Carpet ni kuwa bajeti ya jeshi la polisi ime burst extremely especially kwa nyakati hizi ambazo Tanzania ipo chini ya mtutu yaani silimu usalimike

Miradi yote imesimama, na fedha zipo kwenye kuilinda amani kwa njia ya mtutu.

Je, njia inatoa?

Dr Megalodon Mushi
Canada
 
Kuna mtu wa serikali nilimsikia juzi anasema kuna Sheria inakataza kumnunulia mtoto toy zenye umbo na mfano wa bunduki.
Lakini mtaani kama tunavyoona Bunduki zimezagaa Kila sehemu askari wameziweka mbele.
 
😪
 
Kwa sasa imekuwa kawaida na watoto wamekuwa wakishangazwa na hali ya sasa. Watoto wanauliza kwanini tunaona polisi na guns mitaani? - Je wanataka kutuua? —

Hii ni historia mbaya kwa TZ na kwa amani ya mchongo over 60 years.

CCM mjiandae na hali hii kwa maana tatizo sio kuwa Samia hatakiwi: tatizo ni Generation has changed… it is not going to end until mbadili namna mnavyofikiri

Swali la msingi : polisi kusimama njiani wana kula allowance kama tatu hivi

1. Health allowance maana wanashinda kwa Jua na vumbi full day na wengi ni poor family hawana maisha
2. Risk allowance ( kuuliwa na kugongwa na gari au kuvamiwa) kama wale polisi waliokufa Oct 29
3. Half perdiem Hii pia wanalipwa

Na hizo allowance zote zinaendana na rank ya polisi

Expenditure jeshi la polisi ime double over 70% of forecasted budget

Na kwa taarifa chini ya Carpet ni kuwa bajeti ya jeshi la polisi ime burst extremely especially kwa nyakati hizi ambazo Tanzania ipo chini ya mtutu yaani silimu usalimike

Miradi yote imesimama, na fedha zipo kwenye kuilinda amani kwa njia ya mtutu.

Je, njia inatoa?

Dr Megalodon Mushi
Canada
nonsense 🐒
 
Hayalipwi,
 
Screenshot_20260616-173300~2.png
 
Gentleman,
amani na usalama wa waTanzania wote vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile bila kujali porojo za aina yoyote ile, kutoka kwa mfuata mkumbo au mamluki wa aina yoyote ile 🐒
 
Poa
 
Back
Top Bottom