Tujukumbushe uongo mbalimbali aliowahi kusema Mange Kimambi

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
1. Mume wa Zari, Ivan hajafa yupo hai amejificha sababu anadaiwa

2. Nyumba ya South Africa sio ya Diamond

3. Zari ana mtoto mkubwa ambaye anadanganya ni mdogo wake

4. Lowassa ana ugonjwa wa kujiharishia na kupoteza kumbukumbu

5. Nillan sio mtoto wa diamond

Tena siku hizi ameanzisha mchezo anajifanya mdau namba 1 mara 2 kumbe ni yeye anajitungia kama zamani alivyokuwa anaandika msg toka akaunt yake moja kwenda nyingine anascreenshot huku akijifanya kaandikiwa na wadau kumbe ni yeye mwenyew huku akijifanya ku hide id

Na nyie ongezeeni uongo wa huyu bi mdada
 
acha umama wewe wote sie tulikuwa tunafatilia post zake...
yeye anapata taarifa kutoka kwa wadau si kwamba 100% ni yeye kasema..
 
Kuuuumbeee....we ngoja akusikie akuanike na wewee mambo yako..."nakojooooaaa'
 
Eeeeeh
Mange ana threads juu yake nyingi tu humu JF za miaka na miaka.. burudani sana

Hata Matola aliwahi kufungua thread akidai anamtetea mteja wake wa USA.. ambaye ni mke wa rafiki yake kutokana na kurumbana na Mangenita.. alimdisi weee ila siku hizi ni mtetezi wake kwa top 5 humu.. kisa siasa.. eeeeh CDM ya Mange anawafuasi wengine humu mshangao kwetu.. burudani tu JF

JF burudani haswaaaa eeeh
 
Wewe ni punguani
 
Mange ni Google wakati wewe ni shilawadu ukome
 
Lile ni tahira linachopewa mbio kwenda kukipost nasikitishwa na sana na msomi kumtegemea mange kuwa ni mtoa taarifa zenye uhakika
Mengi anasema kweli taarifa hakuna yeye ana thubutu kutupa habar
 
Tujikumbushe uongo aliowahi kuusema mzee wa familia a.k.a JP.
- Niliingia madarakani sukari ikiuzwa tshs 5,000/=
- Tunajenga reli kwa hela ya ndani bila kutegemea mkopo
- Naomba vyombo vya dola vihakikishe vinawakamata wote waliohusika kumshambulia TL
- Huwezi kuharibu hapa nikakuhamisha kukupeleka pengine, nakufukuza moja kwa moja

Ongezeni na mengine baadae tulinganishe kati yake na Mange ni yupi yupo kwenye vyanzo vizuri vya habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…