Tujulishane timu tunazoenda kushabikia Kombe la Dunia 2022 Qatar

Tujulishane timu tunazoenda kushabikia Kombe la Dunia 2022 Qatar

Wananchi tuna comment wapi? Brazil πŸ‡§πŸ‡· hapa. Brazil die hard tangu enzi za Pele hadi Ronaldo de Lema, na sasa tunaenda na Neymar kubeba mwali wetu
 
1-Timu zote za Africa
2-Argentina coz of Lapulga, kizee cha maajabu.
3- spain

Adui England sijui kwanini huwa siikubali hii timu, nadhani misifa, ujuaji na propaganda ndo sababu.
 
Back
Top Bottom