Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Kweli bro, ngoja nijitose tu
 

Nipe picha zote

Kesho nakupa price
 
Ukivaa ukapendeza,
Ukamtupia huyu jamaa,
Hakika atakupa heshima sana.

Moja kati ya silaha zangu za kivita ninazoziamini...

Kama kuna mwamba kawahi itumia alete review yake hapa.
 
Natafuta perfume ya Forever 25th Edition (inauzwa kati ya 120k-130k) niliponunua awali hawana Tena.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…