Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Ok mkuu, kwa budget ya 50k to 70k ni kazi gani za kiume naweza pata zisizo na choking smell
Kuna moja ni tulivu sana na inakaa mno,

Bitter peach [emoji527]

Hii tafuta ya kupima,
Original ni bei kidogo.

Nikushauri,
Kuna perfumes nyingi ni clone za kupima ila ni nzuri tu na bei ni ya kishakaji,
Nenda kwenye maduka ya kupima
Chukua sample zako tano mpaka sita kwenye kikaratasi,nenda nazo nyumbani, baada ya siku tatu utajua ni ipi imekupendeza..
Hivo ndivo mi hufanya.
 
Ni kweli kabisa coz kuna jiran yangu alikua anatumia aqua d gio profondo original nikaipenda harufu nikaenda kununua hizi za kupima nkaona harufu ni mulemule as original, long lasting, attention grabbing [emoji95]
 
Hii nimeikosa

Aventos
Wanaringa ni 25,000 naona hamna sokoni

Huyu mmoja anayo anaisukuma kwa hiyo bei

Though kwangu ni reasonable nikiangalia na maajabu yake
 
Hamna kitu takataka humo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Maduka gani yana pafyum za kupima
 
Ni kweli kabisa coz kuna jiran yangu alikua anatumia aqua d gio profondo original nikaipenda harufu nikaenda kununua hizi za kupima nkaona harufu ni mulemule as original, long lasting, attention grabbing [emoji95]
Shida ni hawa watu wanaanza fresh,wakipata wateja wengi wanapunguza ubora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…