Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
hio Aventos inakaa mno,hadi sehemu utakayolala harufu inabakia. Afu bei ya kishikajiKati ya hiz mbili ipi Bora Zaid na inakaa Sana kwenye nguo?View attachment 2465669View attachment 2465669View attachment 2465671View attachment 2465670View attachment 2465672
Shukran, niichek hiihio Aventos inakaa mno,hadi sehemu utakayolala harufu inabakia. Afu bei ya kishikaji
Hiyo aventos ina ka ucreed aventus ndan yake au ni jina tu?? Mana cjawah inusa hiyohio Aventos inakaa mno,hadi sehemu utakayolala harufu inabakia. Afu bei ya kishikaji
Aventos natumia kwa sasa inakaa sana sema mi napaka na Mist ...Kwangu naona ni value for money coz bei Chee 25k then mil 100 ni bomba Haina bugs na noise kwa sana ..Kati ya hiz mbili ipi Bora Zaid na inakaa Sana kwenye nguo?View attachment 2465669View attachment 2465669View attachment 2465671View attachment 2465670View attachment 2465672
Vinafanana harufu kwa mbali ila naona creed aventus ni kali sana ..Aventos Haina noise sana .Hiyo aventos ina ka ucreed aventus ndan yake au ni jina tu?? Mana cjawah inusa hiyo
Creed Aventus zinatofautiana,kuna ile yenye chupa nyeusi hiyo ni the best,original yake ni 1.8m ila copy zipo kuanzia 15 nazo si mbaya sanaVinafanana harufu kwa mbali ila naona creed aventus ni kali sana ..Aventos Haina noise sana .
La coste white inanukia vizuri, naipata.Juzi katika pitapita zangu,kuna mtaa nilikatiza nikakutana na manukato ya kupima.
Nilichukua kichupa cha "LA COSTE WHITE"
kwangu niliona kawaida ila inakaa na compliments ni za kutosha,
Yuko dada mmoja kaning'ang'ania toka jana nimtajie inaitwaje...
Ubaya imenishinda inanikausha koo.
Chupa nyeus unaizungumzia cdnim?Creed Aventus zinatofautiana,kuna ile yenye chupa nyeusi hiyo ni the best,original yake ni 1.8m ila copy zipo kuanzia 15 nazo si mbaya sana
hapana ni creed aventus ila ina chupa nyeusiChupa nyeus unaizungumzia cdnim?
Hii bei ngapiFree delivery
Sikuangalia vizuri nikadhani ni mahindi ya kuchoma πππππWale wa perfume za kupima mkuje
Mils 30 16k
Perfumes aina zote