Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Sikuangalia vizuri nikadhani ni mahindi ya kuchoma πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wabeja sana Msukuma🀣
Njoo uyachukue ukale
 
Nijuze hilo chimbo uliponunua hiyo Aventos niijaribu namimi
 
Kwa body mist Victoria secret wapo vyema halafu inakaa muda mrefu

Pamoja na Bodycology Zipo vyema
inaonekana za kike hizo majina yake yalivokaa.
Body mist ya kiume nzuri ni ipi na Bei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…