Tupia picha yakeAventos imekua popular, few compliments.
Mnaopenda kunukia,kizuri kula na wenzio.
Vunja kibubu,go for lacoste white utanishukuru baadae, akuna cha aventus by creed sijui mdudu gani...
Unataka kunukia,mnunue huyu mnyama lacoste original sio clone(sijui kama ipo)ama ya kupima..
Popote utakapo ingia ni wewe tu,ofisini ni wewe tu,kwenye daladala ni wewe tu hakuna mwingine,kabatini,room kila sehem ni wewe tu,hata ukifua wakikatiza kwenye kamba ni harufu yako tu ya kupendeza...everywhere it's only you.
Compliments kama zote.hakika hutajutia.
For now my best choices ni lacoste white na I'm the king.
Vunja kibubu mzee mchukue huyu mnyama wa kishua sana.
Naweka kalamu chini.
Adios
Mousuf heri sauvage ya kupima
Sauvage ni kaliMousuf heri sauvage ya kupima
Me imeniboa
Ukispray hujisikii kunukia, watasikia wengine.
Sauvage unajisikia mpk raha
Nipo Arusha naipataje hii kituLet's go... 22,000/=
View attachment 2492435
Dove ulinunua ipi?,showel gel ya namna ganRamza lattafa niliona humu humu kwenye thread nikanunua ipo vizuri
Dove niliona humu humu nikanunua sasa afadhali ngozi inang'aa tatizo wanaume tunaona mambo ya urembo ni mambo ya kike ndio shida.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Nilinunua sabuni 2500Dove ulinunua ipi?,showel gel ya namna gan
hyo lacoste sijawah sikia harufu yke nikahis ni maji matupuAventos imekua popular, few compliments.
Mnaopenda kunukia,kizuri kula na wenzio.
Vunja kibubu,go for lacoste white utanishukuru baadae, akuna cha aventus by creed sijui mdudu gani...
Unataka kunukia,mnunue huyu mnyama lacoste original sio clone(sijui kama ipo)ama ya kupima..
Popote utakapo ingia ni wewe tu,ofisini ni wewe tu,kwenye daladala ni wewe tu hakuna mwingine,kabatini,room kila sehem ni wewe tu,hata ukifua wakikatiza kwenye kamba ni harufu yako tu ya kupendeza...everywhere it's only you.
Compliments kama zote.hakika hutajutia.
For now my best choices ni lacoste white na I'm the king.
Vunja kibubu mzee mchukue huyu mnyama wa kishua sana.
Naweka kalamu chini.
Adios
Vip mkuu tuish na lamz lattafa!.?Ramza lattafa niliona humu humu kwenye thread nikanunua ipo vizuri
Dove niliona humu humu nikanunua sasa afadhali ngozi inang'aa tatizo wanaume tunaona mambo ya urembo ni mambo ya kike ndio shida.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23] ulinunua original ndo ikawa hivyo?hyo lacoste sijawah sikia harufu yke nikahis ni maji matupu
Inabid nibadilike nataka nijaribu Dove kuanzia sabuni mpaka lotionNilinunua sabuni 2500
Na lotion yake nilinunua elfu 9
Pale kariakoo
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Unauzaje?Hello, Aventos ninayo. Karibu 0753669856. Nipo Dar na bei hizo hizo. Ukiwa Kariakoo nicheck mtaa wowote utaletewa
Tsh,220,000/=Aventos imekua popular, few compliments.
Mnaopenda kunukia,kizuri kula na wenzio.
Vunja kibubu,go for lacoste white utanishukuru baadae, akuna cha aventus by creed sijui mdudu gani...
Unataka kunukia,mnunue huyu mnyama lacoste original sio clone(sijui kama ipo)ama ya kupima..
Popote utakapo ingia ni wewe tu,ofisini ni wewe tu,kwenye daladala ni wewe tu hakuna mwingine,kabatini,room kila sehem ni wewe tu,hata ukifua wakikatiza kwenye kamba ni harufu yako tu ya kupendeza...everywhere it's only you.
Compliments kama zote.hakika hutajutia.
For now my best choices ni lacoste white na I'm the king.
Vunja kibubu mzee mchukue huyu mnyama wa kishua sana.
Naweka kalamu chini.
Adios
Kwangu mimi naona iko poa ila kila mtu na chaguo lake unaweza jaribu zipo na nyingine hapo juu wadau wametaja kama royal mirage you can test the feeling and enjoy your life mkuu maisha ndio haya haya mkuu.Vip mkuu tuish na lamz lattafa!.?
Ziko poa mkuu jaribu utaona matokea yakeInabid nibadilike nataka nijaribu Dove kuanzia sabuni mpaka lotion
Hapo unyama mwaisa umetishaWanyama hawa apa[emoji123][emoji123][emoji123]
Anventos kumbe kwenye box ipo na kaspray kadogo na watu hamsemi
All in all, watu wa mbeya mjini kuna mjamaa apo soweto ana perfume zote zinazotajwaga humu na bei yake n rafiki
View attachment 2497471View attachment 2497472
Mwanaume unasemaje mfyuuuuuuuuMwanaume unaanzaje kutumia pafyumu mfyuuuu
1[emoji814] de nuit intense manWakuu, cologne/perfume gani Kali, bajeti yangu ni kuanzia 100,000 hadi 150,000.