Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mls ngapi hiiOil based perfume
[emoji91]
Kitu black opium[emoji91]
Haijawahi kumkataa mtu.
Na mtu akiisikia lazima,yaani lazima aipende
16kView attachment 2513673
30milsMls ngapi hii
Mkuu unayo Issey Miyake? Kama ipo nipe bei.Asante wote mnaoniungisha
Wale ambao nimechanganya order,,
Kesho nawaletea zoooote mchague .
Hii imeisha Mkuu.Mkuu unayo Issey Miyake? Kama ipo nipe bei.
Kaka haina maajabu ya namna hiyo.amazing world ramz lattafa silver usithubutu kulinganisha na upuuzi wa kawaida na hii kitu
original brand
first time kutumia hii kitu ilikuwa 2018 nikiingia sehemu watu macho yote kwangu kama MO dewji toka hapo sijawahi iacha mpaka leo
View attachment 2512445
Nimeanza kuitumia juzi tu of course ina unyama mwingiKaka haina maajabu ya namna hiyo.
Sema inakaa kinyama.View attachment 2514826
Kwangu mimi it's too much, too shouting. Haina utulivuNimeanza kuitumia juzi tu of course ina unyama mwingi
Moja ya changamoto hapa huwezi kutest harufu ukawalinganisha wazalishaji nani bora zaidi ya mwingine
Hebu tujuzane hapa aina ya Perfume au Body spray unayotumia! Mimi natumia Knowledge Perfume, wewe je?
Well,tupo tofauti mimi nimeikubaliKwangu mimi it's too much, too shouting. Haina utulivu
Sioni compliments zozote... kwenye kukaa 8/10
Mkuu mm ninayo kuna version mbili 30k na 70kMkuu unayo Issey Miyake? Kama ipo nipe bei.
Aliikuta mtu ghetto akasepa nayo. Ina harufu imetuliaKaka haina maajabu ya namna hiyo.
Sema inakaa kinyama.View attachment 2514826
Ni inaishi au inabidi nitembee nayo niwe naibust kidogo kidogoOil based perfume
[emoji91]
Kitu black opium[emoji91]
Haijawahi kumkataa mtu.
Na mtu akiisikia lazima,yaani lazima aipende
16kView attachment 2513673
Nina Barakat Rouge iko vizuri ila jamaa kanipiga. Haikai sana, yaani asubuhi mpaka saa nane unaanza itafuta kwa tochi
Hahaha hapa kibubu kimegoma kuvunjikaTsh,220,000/=View attachment 2499404
Ukishapuliza mara moja tu basiNi inaishi au inabidi nitembee nayo niwe naibust kidogo kidogo
Chukua hii MkuuNina Barakat Rouge iko vizuri ila jamaa kanipiga. Haikai sana, yaani asubuhi mpaka saa nane unaanza itafuta kwa tochi