Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Oil based perfume
[emoji91]
Kitu black opium[emoji91]
Haijawahi kumkataa mtu.
Na mtu akiisikia lazima,yaani lazima aipende

16k
JamiiForums2141807759.jpg
 
Jamani jamani
Hello Gentlemen
35k tu set yoote

Hii siyo ya kumnyima mtu jamani[emoji7]
Valentine hiyooo,Nogesheni upendo na set nzuuuri ya Kigunia[emoji91][emoji119][emoji257][emoji108]
IMG-20230210-WA0079.jpg
 
Asante wote mnaoniungisha
Wale ambao nimechanganya order,,
Kesho nawaletea zoooote mchague .
 
amazing world ramz lattafa silver usithubutu kulinganisha na upuuzi wa kawaida na hii kitu

original brand


first time kutumia hii kitu ilikuwa 2018 nikiingia sehemu watu macho yote kwangu kama MO dewji toka hapo sijawahi iacha mpaka leo

View attachment 2512445
Kaka haina maajabu ya namna hiyo.
Sema inakaa kinyama.
20230210_231552.jpg
 
Back
Top Bottom