Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Botega veneta ndio habari ya mjini,itumie hutojuta haisee,mwaka Wa 18 huu naitumia,asilimia 80% ya wapenz wangu niliwapatia sababu ya perfume2,nakumbuka adi lecture Wa kike alishaniita ofisini nikamuuliza kulikoni akaniambia harufu ya perfume yangu inampa ashki za kufanya mapnz mpka nikaona aibu kumtizama ,hiwezi amini hivi kitu ofisini sasa nisipokuwepo utajua tu,wafanyakaz wenzangu Wa kike wananipenda usipime kisa perfume2 dahaa botega inawatega kweli!! Ijaribuni ndugu zangu japo cjawai kuwaambia marafiki zangu japo wengi walipenda niwaambie jina LA perfume!! Basi Leo nimemwaga mchele sasa,ila kua makini ukishaanza kuitumia kama unadada zako wataitumia iishee maanake wataipenda sana! Weka mbali na watoto Wa kike !? Naweka chini kalamuView attachment 361635
Laki ngap nimnunulie bae waniibie vizur [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Wakuu naomba mnieleweshe, inasemekana baadhi ya pafyum zina uhusiano na Freemason, ni kweli? Naomba jibu
 
006637a0ca8ee70d49a73deba5b51231.jpg
5fb680698fd178f0f5add183130d52a2.jpg


Umetisha sana mnyamwezi.
 
Mkuu hio avatar yangu huioni hio picha hata useme mimi jinsia yangu iwe ya kike?[emoji15] kuwa na manukato mengi ni kubadilisha harufu tofauti sio unakuwa unanukia hivyo hivyo kila siku. Ikiwa huwezi kuvaa nguo hio hio kila siku basi na mimi siwezi kuweka cologne hio hio kila siku.
nimekupata mkuu...mimi huwa na trend na identity moja,mpaka baada ya muda ndio na switch nyingine...kiasi kwamba ukisikia flani unajua nipo arround!
pamoja mkuu
 
2a7e96cb942cda222613e3105cf760d1.jpg

Hizi ni deodorants tu.
049c8c4f2583a4a78276a0af969bc8cd.jpg

Hizi ni body spray(body splash)
b8de61831a745ee64944c9d453e0287a.jpg

Hizi cologne
a4b3e543bdcfe57ed56265f3a45c9e96.jpg

Na hizi ni lotion na hio face scrub.
Mzee uko poa sana,iyo mizingo hapo hesabu yake ni kivists kinatoka bandari

Kwanza hapo kwny perfum tu kuna zaidi ya milion tatu
 
Back
Top Bottom