Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Wanachakachua sana siku hizi mkuu,Ulinirecomment ile bitter peach kwa hao jamaa Asee ni kali sana na masaa matatu mengi kitu hola. Nimeishia kuigawa tu maana hakuna value for money
Ila bitter peach ni cologne ya heshima sana ndio mana original yake inauzwa bei ghali.