Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Unaweza usibadili ila ukachanganya na nyingine ili uwe tofauti.Mousuf mm naipenda sana ila jilishawahi kuulizwa na watu sio chini ya 13 natumia perfume gani so hao wote wameongezeka kwenye mousof..
Nataka nibadili sasa maana zinachakachuliwa sana.
[emoji3514]TetesiHizo spray na perfume zinaongeza hormone za kufanya watu wawe mashogaaaa.
Report ya Mwakyembe inasema hivyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Black opium imepoa sana1. Riri
2. pink chiffon
3. sweet passion
4.escada cherry in the air
5. lanuit tressor
6. lavie est belle
7. black opium
8. scandal
9. jo malone
10.rams lattafa ( silver).
Halafu yake vipi hii
Ni nzuri ila hizi za set zimeisha.Halafu yake vipi hii
Zipo za wanaume na za wanawakeNauliza dunhill desire Ni ya wanaume au wanawake,Kuna jamaa apa naona kajipulizia qnadai anatumia dunhill desire.
Nitajuaje Kwa sababu ilikuwa ni ya kupima..Zipo za wanaume na za wanawake
Unawauliza.Nitajuaje Kwa sababu ilikuwa ni ya kupima..
Sauvage ni unyama sana, % kubwa ya wanaume tumetumia sauvage iwe original, tester or copy...kiufupi iko poa wadada wanaipenda sanaMwenye experience pia ya sauvage na bitter peach spray anipe
Tatzo zile za kupima hazifiki hata wiki 3 zimeisha na hapo unakuta umenunua ya 20kSauvage ni unyama sana, % kubwa ya wanaume tumetumia sauvage iwe original, tester or copy...kiufupi iko poa wadada wanaipenda sana
Bitter peach sijawah tumia
Kwl kbs huwa znaisha mpm sanaTatzo zile za kupima hazifiki hata wiki 3 zimeisha na hapo unakuta umenunua ya 20k
Tununue zipi sasaKwl kbs huwa znaisha mpm sana
Mwenye experience pia ya sauvage na bitter peach spray anipe