bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Chukua tester box nyeusi inacheza elfu 60-70Tununue zipi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua tester box nyeusi inacheza elfu 60-70Tununue zipi sasa
Imepoa kwamba ni nzuri sana au imepoa kwamba harufu yake haina kelele?Black opium imepoa sana
Umesema elfu 60??Chukua tester box nyeusi inacheza elfu 60-70
Nd hvyo chief,inabidi ukope tu [emoji1]Umesema elfu 60??
Chief hyo ni nusu ya mshahara kabisa
Kuna za kupima yan bei ya kawaida ila zinanukia kama zile original kabisa, kwahiyo kuwa makin na hela yako.
Alaf mama mchungaji ndo umeninyima pafyumu kabisaaZipo za wanaume na za wanawake
[emoji23][emoji23]kwel kbs[emoji23]me ndio mana nastuka nikisikia za malaki kadhaa , huku nafaham za kupima za hela isiyo kali kabisa na zina balah haswa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alaf mama mchungaji ndo umeninyima pafyumu kabisaa
Nitashusha maombi hapa hizo pafyumu zitoe harufu ya dagaa[emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji23]me ndio mana nastuka nikisikia za malaki kadhaa , huku nafaham za kupima za hela isiyo kali kabisa na zina balah haswa
Nitafutue package yangu basi unitumie na mimi ninukie vizuri kama boss wangu Simara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashangaa hadi muda huu haujaja kuniungisha
KAma zpi hizo zenye balaa[emoji23]me ndio mana nastuka nikisikia za malaki kadhaa , huku nafaham za kupima za hela isiyo kali kabisa na zina balah haswa
Nashangaa kwann huwa zinakata mapema hvyo hata wiki 2 haizifiki[emoji1787][emoji1787]
Shida ya perfume za kupima zinaisha kama upepo.
Ulipata kununua kwenye duka ambalo silooo. Pole[emoji1787][emoji1787]
Shida ya perfume za kupima zinaisha kama upepo.
Bei ghali,mils chache.Nashangaa kwann huwa zinakata mapema hvyo hata wiki 2 haizifiki
Nadhani umenielewa tofauti Mkuu.Ulipata kununua kwenye duka ambalo silooo. Pole
Huwa zinakera ..sasa hv nitanunua body splash zile za 10kBei ghali,mils chache.
Sasa mtu unakuta umenunua mils 10,[emoji23]
Siku 2 imekatika.
Inaitwa weka mbali na waremboInanukia vzuri