Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Body splash na body spray ya MOUSUF .....zile nazo ni nzuri haswa...zinanukia vzur na kwa muda mrefu
 
Sale;Berries weekend, Mousof, Ramz Latafa
25,000/=
0753595520 free delivery
 

Attachments

  • IMG-20230325-WA0012.jpg
    IMG-20230325-WA0012.jpg
    120.4 KB · Views: 35
  • IMG-20230325-WA0014.jpg
    IMG-20230325-WA0014.jpg
    149 KB · Views: 31
  • IMG-20230325-WA0012.jpg
    IMG-20230325-WA0012.jpg
    120.4 KB · Views: 36
Kumalizika ni matumizi yako dear, huenda unajipulizia nyingi , ama spray tube inamwaga nyingi, na pia unaweza nunua yenye harufu kali kiasi ili uspray kidogo sana itakaa zaidi ,, pia jitahidi kununua walau mbili kuendelea zitadumu zaidi mie nanunua kuanzia 6 napata kwa bei ya jumla so nakuwa nazo nyingi na pia nasave pesa kwa kununua bei ya jumla
Hizo za kupima kwa jumla napata wapi
 
Umesema elfu 60??
Chief hyo ni nusu ya mshahara kabisa
Kuna siku niko class pembeni amekaa mdada mkali kinomaa anashusha modules. Mtoto ananukia vizuri ikabidi niandike note nimuulize perfume yake bei gani ,jina lake na kama ni unisex.

Jina linakuja Ur way, 65k na unisex.

Nikaachana nae hata story zikaisha hapo
 
Back
Top Bottom