Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wapi wamekuuzia 7k?Chupa hii ni 5k, wapi umenunua?. Najua sehemu nyingi ni 7k.View attachment 2589054
Ni elfu 5,ikizidi sana 6.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi wamekuuzia 7k?Chupa hii ni 5k, wapi umenunua?. Najua sehemu nyingi ni 7k.View attachment 2589054
Yes hii hii Mwanza nimenunua chiefChupa hii ni 5k, wapi umenunua?. Najua sehemu nyingi ni 7k.View attachment 2589054
Chupa hii ni 5k, wapi umenunua?. Najua sehemu nyingi ni 7k.View attachment 2589054
Shi ngapi hii? Naitafuta nitaipata wapi?212MEN ipo kwenye damu.since 2000-mpk kesho.View attachment 2581308
Maduka ya mtaani.Wapi wamekuuzia 7k?
Ni elfu 5,ikizidi sana 6.
Dolby ruka nayoWekeni na body spry zinazo nukia muda mrefu
Yakike nunua feelings
Ya kiume tumia Bushra
Yakike nunua feelings
Ya kiume tumia Bushra
bushra ????Yakike nunua feelings
Ya kiume tumia Bushra
[emoji1787][emoji1787]bushra ????
aisee perfume ya hovyo sana kwangu kutokea
inakera vibaya mno
Hizo za kupima kwa jumla napata wapiKumalizika ni matumizi yako dear, huenda unajipulizia nyingi , ama spray tube inamwaga nyingi, na pia unaweza nunua yenye harufu kali kiasi ili uspray kidogo sana itakaa zaidi ,, pia jitahidi kununua walau mbili kuendelea zitadumu zaidi mie nanunua kuanzia 6 napata kwa bei ya jumla so nakuwa nazo nyingi na pia nasave pesa kwa kununua bei ya jumla
Kuna siku niko class pembeni amekaa mdada mkali kinomaa anashusha modules. Mtoto ananukia vizuri ikabidi niandike note nimuulize perfume yake bei gani ,jina lake na kama ni unisex.Umesema elfu 60??
Chief hyo ni nusu ya mshahara kabisa
Elfu 65 panahitaji maelekezo kwa kweli.Kuna siku niko class pembeni amekaa mdada mkali kinomaa anashusha modules. Mtoto ananukia vizuri ikabidi niandike note nimuulize perfume yake bei gani ,jina lake na kama ni unisex.
Jina linakuja Ur way, 65k na unisex.
Nikaachana nae hata story zikaisha hapo
Kabisa kaka hio kwa maisha ya chuo ni hela ya week kadhaa afu mtu anatumia kwenye perfume, ndio nikaamini hapa duniani hatufananiElfu 65 panahitaji maelekezo kwa kweli.
Sio maisha ya chuo tuKabisa kaka hio kwa maisha ya chuo ni hela ya week kadhaa afu mtu anatumia kwenye perfume, ndio nikaamini hapa duniani hatufanani