Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
yaani GIORGIO ARMANI (my way EA de perfume) kaiga hyo AWAY??
uko serious kweli?????
Check origin ya Away halafu na My way Tunayonunua Kkoo
Uje na facts mezani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani GIORGIO ARMANI (my way EA de perfume) kaiga hyo AWAY??
uko serious kweli?????
my way eau de perfume ama my way intense hakuna iliyoigwa kutoka kampuni nyingine yyteMy way ndo 65,000 halafu ina copy yake wanauza 18,000 sijui
Ila original yake ni Away nayo sijui kibongobongo ni ngapi
my way eau de perfume ama my way intense hakuna iliyoigwa kutoka kampuni nyingine yyte
na hzo my way genuine duniani ni zaidi ya 200000tsh.
kwanza unazungumzia Away ipi??Check origin ya Away halafu na My way Tunayonunua Kkoo
Uje na facts mezani
definitely hyo sio from origin manufacturerEeeh hapa tunazungumzia my way ya 65,000 Angalia ulichoquote.
definitely hyo sio from origin manufacturer
ndo maana nimesema duniani zinaanzia 200k zenyewe.
hapa ulikuwa una maanisha nini??Siyo My way? Ambayo hiyo ni copy ya away View attachment 2604655
Hivo ume change number? SkupatiWengi siku hizi wanachakachua sana.
Jaribu kwa Apende Perfumes wapo Manzese Tiptop opposite na vunjabei
Pia jaribu kwa waarabu Fulani wapo shimoni pale
Ukitokea msimbazi polisi ile barabara,kabla hujafika shimoni,upande wa kushoto kuna duka la vitambaa.
Hapo wanauza perfumes za kupima.
Hawa kidogo perfume zao hawachakachui sana.
Ni ileile DadaHivo ume change number? Skupati
Jaribu Delux Cent Douze VIP BlackWakuu Nimetumia Ramz lataffa nataka nihamie perfume nyingine...ipi ni nzuri kwa budget ya 25k au zile za kupima korokwincho
tafuta mixer ya black opium na cool waterWakuu Nimetumia Ramz lataffa nataka nihamie perfume nyingine...ipi ni nzuri kwa budget ya 25k au zile za kupima korokwincho
Anhaa ni shingapi hiyo black opium na cool watertafuta mixer ya black opium na cool water
iko vyema
ama beba diable blue ni 7000 tu.
@Saint Anne unazo hizitafuta mixer ya black opium na cool water
iko vyema
ama beba diable blue ni 7000 tu.
kwa huko dar mills 30 inacheza kwenye 20k -25k
Sawa mkuu nitafuatiliakwa huko dar mills 30 inacheza kwenye 20k -25k
Ipo Black opium
Kuna siku nimekupigia sim hupokei,nilitaka nikuungishe,wewe unaniambia nikutext WhatsApp na mm ni mvivu wa kumwelewesha mtu kwa smsMachimbo yapo mengi
Inategemea uko mkoa gani.