Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

My way ndo 65,000 halafu ina copy yake wanauza 18,000 sijui

Ila original yake ni Away nayo sijui kibongobongo ni ngapi
my way eau de perfume ama my way intense hakuna iliyoigwa kutoka kampuni nyingine yyte

na hzo my way genuine duniani ni zaidi ya 200000tsh.
 
my way eau de perfume ama my way intense hakuna iliyoigwa kutoka kampuni nyingine yyte

na hzo my way genuine duniani ni zaidi ya 200000tsh.

Eeeh hapa tunazungumzia my way ya 65,000 Angalia ulichoquote.
 
Check origin ya Away halafu na My way Tunayonunua Kkoo
Uje na facts mezani
kwanza unazungumzia Away ipi??

kma ile ya AVON FAR AWAY
ya miaka ya 1990s

iko tofauti kabisa na hzo my way by Giorgio Armani

kuanzia top notes mpaka base notes.
 
Wengi siku hizi wanachakachua sana.

Jaribu kwa Apende Perfumes wapo Manzese Tiptop opposite na vunjabei

Pia jaribu kwa waarabu Fulani wapo shimoni pale
Ukitokea msimbazi polisi ile barabara,kabla hujafika shimoni,upande wa kushoto kuna duka la vitambaa.
Hapo wanauza perfumes za kupima.
Hawa kidogo perfume zao hawachakachui sana.
Hivo ume change number? Skupati
 
Napaka hii Libre. Nikiingia mahali ninaskia harufu yangu tu peke yangu. It smells soooo good. Siwezi elezea. Nlinunua laki3 na nusu.
 

Attachments

  • 6597DC2D-3AA3-4594-845C-E598F9397457.jpeg
    6597DC2D-3AA3-4594-845C-E598F9397457.jpeg
    117.3 KB · Views: 45
Back
Top Bottom