Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Laki ngap nimnunulie bae waniibie vizur [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mkuu tumia emotion ni nzuri sana ila ina bei saa hv ni 25000
 
Wakuu naomba mnieleweshe, inasemekana baadhi ya pafyum zina uhusiano na Freemason, ni kweli? Naomba jibu
 
nimekupata mkuu...mimi huwa na trend na identity moja,mpaka baada ya muda ndio na switch nyingine...kiasi kwamba ukisikia flani unajua nipo arround!
pamoja mkuu
 

Hizi ni deodorants tu.

Hizi ni body spray(body splash)

Hizi cologne

Na hizi ni lotion na hio face scrub.
Mzee uko poa sana,iyo mizingo hapo hesabu yake ni kivists kinatoka bandari

Kwanza hapo kwny perfum tu kuna zaidi ya milion tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…