Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Mkuu hiyo pamoja na Gillette ni deodorants wakati Bvlgari, dunhill na Locaste ni perfumes. Najua umeamua unifanyie masihara tu.

[emoji28] old spices among best deodorant stick

I wish Wababa wote mngekua mnaanzia hapo kbla ya kuwaza perfume..
 
[emoji28] old spices among best deodorant stick

I wish Wababa wote mngekua mnaanzia hapo kbla ya kuwaza perfume..

Napenda hiyo au ya Forever. Hii Gillette niliichukua safarini tu.

Of course deodorant muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…