Dooh, nikajua utofauti ni hizo aina ya majina yake tu, mfano hiyo ni rave culture.Shida ya Hii kuna no moja na namba mbili
Namba moja 4500
Namba mbili 6000
Kuzichambua sasa ndo shughuli
SafiiiiEmatscents
Mls 50-35k
Mls 100- 55k
👍👍Alrahmaperfume - Citymall second floor
Noraprocteruk - Nyuma ya Eye Hospital Victoria pale
Findandget - Rose garden road Mikocheni kwa Mwalimu jengo ilipo ATM ya CRDB
JD Pharmacy - Mlimani City
S.H. Amon - Mlimani City
n.k
n.k
Unyama eeh[emoji39][emoji3059][emoji91]View attachment 2705543
inanukia utam tam tu 😅🥳Unyama eeh
Creed aventus Ile original baba laoinanukia utam tam tu [emoji28][emoji3060]
Hawa jamaa Frangance ni nzuri sana hutajutiEmatscents
Mls 50-35k
Mls 100- 55k
Kiboko sana hiyo kituCreed aventus Ile original baba lao
Nmeumaliza huo mzigo muda c mref, huo mzgo ukipigwa na jua na mwili ukipat joto ndo harufu inatema zaid, nzur san hii
hii inasifiwa sana ila kwangu naona ni mafua tu
Replica ya Shumukh. Orijino siiwezi kabisa hata kuiota.
Hebu tujuzane hapa aina ya Perfume au Body spray unayotumia! Mimi natumia Knowledge Perfume, wewe je?
Dooh, nikajua utofauti ni hizo aina ya majina yake tu, mfano hiyo ni rave culture.
Vipi store kwako unazo?.
Weka picha na beiHapana hizo sina
Ila nimeshaleta zile Oil perfumes Za Dubai
Unyama mwingi sana
Kesho nitapost picha hapa
Imekukataa hyo [emoji23]hii inasifiwa sana ila kwangu naona ni mafua tu
Mimi pia niliambiwa hivo wakati ile ni spray tu.Nina perfume ya dark fever ila nina kama wiki Natumia body spray ya Dolby nashangaa leo nimepata complimemt toka kwa mdada anaeuza supermarket kwamba spray yangu nzuri
Ntanunua dolby wiki hii tena...spray nzuri na inakaa kwenye nguo kuliko perfume zile fekiMimi pia niliambiwa hivo wakati ile ni spray tu.
Kuna perfume yake inauzwa 18K dolby
Hivi wakuu Creed aventus ya kupima ipo na huwa ni kuanzia mls ngapi?? bei zikoje cc Hornet