Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Shida ya Hii kuna no moja na namba mbili
Namba moja 4500
Namba mbili 6000

Kuzichambua sasa ndo shughuli
Dooh, nikajua utofauti ni hizo aina ya majina yake tu, mfano hiyo ni rave culture.

Vipi store kwako unazo?.
 
Alrahmaperfume - Citymall second floor
Noraprocteruk - Nyuma ya Eye Hospital Victoria pale
Findandget - Rose garden road Mikocheni kwa Mwalimu jengo ilipo ATM ya CRDB
JD Pharmacy - Mlimani City
S.H. Amon - Mlimani City
n.k
n.k
👍👍
 
DSC_0836.JPG
 
Hivi wakuu Creed aventus ya kupima ipo na huwa ni kuanzia mls ngapi?? bei zikoje cc Hornet
 
Nina perfume ya dark fever ila nina kama wiki Natumia body spray ya Dolby nashangaa leo nimepata complimemt toka kwa mdada anaeuza supermarket kwamba spray yangu nzuri
Mimi pia niliambiwa hivo wakati ile ni spray tu.
Kuna perfume yake inauzwa 18K dolby
 
Back
Top Bottom