Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Asanteni,tozi,nyangi ngabu n kui..naona Io bottega venetta imenikuna.sa mniambie ni shs ngapi nimchukulie shemeji yenu....afu mi ni mapenzi wa red door ya Elizabeth Arden....Ila ndugu ubahili kanikumba as iv mnnisidije?

Safi sana, umeshawahi kutumia 5th Avenue ya Elizabeth Arden mkuu?

Ninataka kumchukulia wifi yako zawadi
 
Bei gani hii, pande za huko kwenu?


Wapi tena mkuu? mi huwa naagiza au na order online. Inategemea na ipi unataka cos kuna varieties, and it can be anywhere btn $50-$100.

Labda wakina tozi25 wanajua zaid different prices.
 
MIMI SITAKI shida pafyumu ninazotumia ni ligi kuu
royal hammer
udv
black market
hizo pafyumu aisee ni ligi kuu yaani nikijipulizia afu nikipita sehemu lazima wajue kuwa mzee mzima nimepita, na hiyo pafyumu usiombe nijipulie afu nikukombatia yaani hiyo harufu utakaa nayo siku tatu hata ukifua haitoki inatoka yenyewe. mpk mtaani wameniita mr pafyumu
 
Mlopost manukato mengi hayo kabatini mnatumiaje?mbna mengi hivo,is it for the love of fragrance tu au mna yenu mana sijawasoma
 
Mhhh huwaga una matatizo ya kusweat sana kikwapa au vp,mbona nyingi hivo??
Watu wanaotumia neno "huwaga" hawawezi kuelewa hayo mambo.

Hawajajua hata Kiswahili bado, watajua collection ya cologne ni kitu gani?

Cologne haitibu kikwapa. Na mimi nipo kwenye full kiyoyozi karibu muda wote.

Nyingi ni relative tu. Unapoona nyingi mwingine ataona huu msingi tu.Hiyo ni collection. Inakua organically.

Hilo bafu la juu tu ushaona nyingi. Nikiweka na za bafu la chini je?

Unaelewa maana ya collection?

Acha vijembe katika vitu usivyoelewa.
 
I can't lie, kweli sijaelewa why all those..anyways
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…