Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Za kike zina manyonyo? [emoji1]

Mbona pia nina 212 for men, na kawaida tu naona.
ukweli mie napenda sana za kike zinazonukia kma matunda ama pipi kma

1. sweet passion
2. pink chiffon
3. la nuit tressor
4. riri
5. Red sorbert
6. escada cherry in the air
7. black opium
8. lavie este belle
9. escada incredible
10. caty night

hzo zote za kike ila ni tamu sanaaaaa
 
ukweli mie napenda sana za kike zinazonukia kma matunda ama pipi kma

1. sweet passion
2. pink chiffon
3. la nuit tressor
4. riri
5. Red sorbert
6. escada cherry in the air
7. black opium
8. lavie este belle
9. escada incredible
10. caty night

hzo zote za kike ila ni tamu sanaaaaa
Pink chiffon…. Ina mwenzake pink sugar, ni mkali kinoma noma.

Riri 🔥🔥
 
ukweli mie napenda sana za kike zinazonukia kma matunda ama pipi kma

1. sweet passion
2. pink chiffon
3. la nuit tressor
4. riri
5. Red sorbert
6. escada cherry in the air
7. black opium
8. lavie este belle
9. escada incredible
10. caty night

hzo zote za kike ila ni tamu sanaaaaa
Hapo natumia namba 7 tu hyo
 
Salaam

Natumiaga hii kitu ila kwa sasa kupata yenyewe kabisa imekuwa shida sana
Hii niliipata Znz lakini bado haijaifikia Ile OG yenyewe
Mwenye anajua wapi naweza pata og akuje inbox
Screenshot_20230915-124913.jpg
 
Back
Top Bottom