Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

My best perfume jamani kila nikipita lazima MTU hanifate kuniuliza ni aina gani Possess na lotion yake

IMG]
Ya kiume au ya kike?
 
Botega veneta ndio habari ya mjini,itumie hutojuta haisee,mwaka Wa 18 huu naitumia,asilimia 80% ya wapenz wangu niliwapatia sababu ya perfume2,nakumbuka adi lecture Wa kike alishaniita ofisini nikamuuliza kulikoni akaniambia harufu ya perfume yangu inampa ashki za kufanya mapnz mpka nikaona aibu kumtizama ,hiwezi amini hivi kitu ofisini sasa nisipokuwepo utajua tu,wafanyakaz wenzangu Wa kike wananipenda usipime kisa perfume2 dahaa botega inawatega kweli!! Ijaribuni ndugu zangu japo cjawai kuwaambia marafiki zangu japo wengi walipenda niwaambie jina LA perfume!! Basi Leo nimemwaga mchele sasa,ila kua makini ukishaanza kuitumia kama unadada zako wataitumia iishee maanake wataipenda sana! Weka mbali na watoto Wa kike !? Naweka chini kalamuView attachment 361635
mkuu inapatikana duka gani na tsh ngapi?
 
1. Celine Dion (ila zimetoweka sokoni).
2. Beyonce
3. Rihanna
 
Botega veneta ndio habari ya mjini,itumie hutojuta haisee,mwaka Wa 18 huu naitumia,asilimia 80% ya wapenz wangu niliwapatia sababu ya perfume2,nakumbuka adi lecture Wa kike alishaniita ofisini nikamuuliza kulikoni akaniambia harufu ya perfume yangu inampa ashki za kufanya mapnz mpka nikaona aibu kumtizama ,hiwezi amini hivi kitu ofisini sasa nisipokuwepo utajua tu,wafanyakaz wenzangu Wa kike wananipenda usipime kisa perfume2 dahaa botega inawatega kweli!! Ijaribuni ndugu zangu japo cjawai kuwaambia marafiki zangu japo wengi walipenda niwaambie jina LA perfume!! Basi Leo nimemwaga mchele sasa,ila kua makini ukishaanza kuitumia kama unadada zako wataitumia iishee maanake wataipenda sana! Weka mbali na watoto Wa kike !? Naweka chini kalamuView attachment 361635
inapatikana wap na shiling ngapi brother
 
Mie natumia hizo hapo nikiwa na hizi namaliza mwaka na kupunguza matumizi kabisa
Miss Dior
Roberto Cavalli
versace
j'adore
LADY MILLION Privé
 
malimau bei bure,
unatungua tu juu yaa mlimau
 
Mimi natumia AXE but kuna perfume moja nilipewaga zawad na mtu wa ujeruman inaitwa VANITAS, ni balaa, yan had ofisin walijua kama nimespray something new n waliipenda, pia hata ukiifua nguo wakati wa kunyosha kile kiharufu chaja, unfortunately sijawahi kubahatika kuipata madukani hapa dar licha ya kuuitafuta sana na huyo wa ughaibun kasharudi bongo, please kama kuna mtu anaifahamu au anajua inapopatikana please let me know, I am ready to buy at any price less than 150k.
Tembelea maonyesho ya wasiria pale diamond jubilee yakianza. huwezi ikosa
 
Attachments

  • T1-OUD-WOOD_OC_50ML_A.jpg
    T1-OUD-WOOD_OC_50ML_A.jpg
    27.2 KB · Views: 209
Back
Top Bottom