Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

IMG_1479932835.818549.jpg


Ladies Magnet.
 
Mm natumia fantasy ile ndogo ya Buku mbili [emoji3] [emoji3]
 
Mi situmii peefume yoyote... Mwili wangu hautoi harufu kabisa kama maji meupe sijui kwa nn. Naweza kupitisha hata siku sijakoga..
 
Back
Top Bottom