khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,137
- 1,380
kuna kitu kimoja kinaitwa expraditiopionalitiselition ni shida sana hapa mjini, ukijispray hiyo kitu wadada wote town lazima wakuulize inaitwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenikomesha sijui nichague IPI niache ipi![]()
![]()
![]()
Hizi hapa na bei zake zote ni za kampuni ya Oriflame.. Karibu
Mkuu hebu nipe mrejesho wa Issey Miyake, harufu yake ni Nzuri na inadumu?Hizi ndo nimeziagiza kwa jamaa yangu dubai.nadhani itakua original sio cloneView attachment 476528View attachment 476529View attachment 476530View attachment 476533
[emoji119] [emoji119] [emoji119]Clone ni kwamba kampuni lingine la perfume (ambalo mara nyingi perfumes zake ni bei rahisi) linakopi notes za perfume nyingine (ambazo perfume zake often ni very expensive) ingawa majina na vingine ni tofauti kabisa isipokuwa "juice" yenyewe. Mtu akipulizia clone ni vigumu kwa mtu kutambua whether ni clone au ni perfume ambayo ni expensive.
Armaf (ambao wapo ufaransa na uae) ni mabingwa wa kutengeneza clones hasa za creed (ambazo ni gharama saana, si chini ya laki 3.5, nyingi ni laki 6 kwenda juu) na perfumes nyingine baadhi.
Eg Tres Nuit (Armaf) ni clone ya Creed green irish tweed, Tag him (Armaf) ni clone ya bleu de chanel, Inserectuion pure II na club de nuit intense ni clones za creed aventus and the list goes on...
Ila fake ni kwamba wanakopi jina, chupa boksi n kila kitu kutoka kwa original manufacturers lakini "juice" yenyewe inakua chenga tupu; inakaa muda mfupu, haina silage sometimes hata harufu yake inakua tofauti na original perfumes.
Ni bora mtu kununua clones cos japo ni bei ya chini (kidogo) nyingine zinakua na performance nzuri zaidi ya perfumes walizozikopi au almost sawa ila sio kwa fake.
Mkuu hadi hizi brand kubwa wanauza kwa kupima pia?Kama uko dar nenda kuna duka la perfume pale mlimani city jirani na silver spoon au mlango wa kuingilia game kuna duka lina perfume nzuri za brand kubwa kubwa tu tena hadi huwa wanapima kwa vichupa vidogo kwa elfu 10 au 15 na wanauza pia hata complete.
Ndio wanauza kwa kupima zote brand kubwa kubwa.Mkuu hadi hizi brand kubwa wanauza kwa kupima pia?
Niwe mkweli hii kitu nimeanza kuitumia sina mda mrefu sina uzoefu nayo,kwa harufu nashindwa nikuelezeaje,lakin ni harufu flani fresh and expensive.cha kuhuzunisha haikai kwenye ngozi mda mrefu.naona kama bei hailingani na bidhaa yenyewe.Mkuu hebu nipe mrejesho wa Issey Miyake, harufu yake ni Nzuri na inadumu?
Hahaah...[emoji119] [emoji119] [emoji119]
Mkuu wewe utakuwa mkemia wa serikali. Mi nataka inayodumu muda mrefu Ila isiwe na harufu kali sana, please recommend
Asante kwa feedback, Wadau wengi wamesema pale JD pharmacy vitu vinapatikana. Ngoja kesho niende kuulizia Kama zitakuwepo ninunue hata kidogo ya kupima nioneNiwe mkweli hii kitu nimeanza kuitumia sina mda mrefu sina uzoefu nayo,kwa harufu nashindwa nikuelezeaje,lakin ni harufu flani fresh and expensive.cha kuhuzunisha haikai kwenye ngozi mda mrefu.naona kama bei hailingani na bidhaa yenyewe.
Lakini kuna ambazo jamaa kaja nazo na nimezijaribu.hakika ni nzuri na nimezoa sifa kedekedeView attachment 479800hii kitu nimejaribu imeniganda siku nzima.pia boss wangu mzungu kaipenda sana na aliuliza ni unyunyu gani natumia.akujua tu nimegongea kwa mselaView attachment 479802club de nuit intense man by armaf.hua najpulizia za jamaa yangu.
Hii ni tatizo man. Katika watu sita nnaokutana nao wawil wanashindwa vumilia wanaisifia,wengine wametaka na jina niwaandikie.kila anaeisikia harufu yake wanamalizika kabisa.na inakaa kwenye(ngozi 8+)nguo zaidi ya masaa 12.
Nimembeleza jamaa aniachie akachukue ingine akisafiri kagoma.kwa mm this is my favourite. Akisafiri lazima nimwagize ya kwangu
Shukrani sana Mkuu, ngoja nikaitafute hiyo BvlgarHahaah...
Kitu ambacho wengi hatufahamu ni kuwa kuna perfumes maalumu kwa kila season (fall, winter, spring na summer). Perfumes za winter (na baadhi za fall) huwa zinanguvu sana (most huwa too sweet) kwa sababu kwenye baridi huwa nivigumu kudetect scents. Hizi huwa hazifai kabisa kwa joto letu la bongo (huwa so cloying).
Zinazotufaa ni za spring na hasa za summer. Luckily maduka mengi ya bongo wanauza perfumes za spring na summer, ila baadhi huwa hata na za winter. Ukiona umenunua perfume ambayo harufu yake ni kali sana basi jua sio ya hali za hewa zetu.
Perfume za spring/summer often huwa fresher while za winter/fall huwa sweeter.
Bvlgari aqua (zipo flankers mbalimbali) ni za summer. Gucci pour homme II, dolce and gabanna light blue for men, Roadster cartier, Bleu de chanel, Azzaro chrome, Invictus (paco rabbane) na Versace pour homme ziko poa. Nautica voyahe huwa inahype sana ingawa kwa mimi naona ya kawaida, uzuri ni kwamba sio gharama kama nyingine.
Ukitaka ambazo zinasmell clean, yani unakua unanukia kama umetoka bafuni (sijui jinsi ya kudescribe lakini unanukia usafi) ninazofahamu ni Mugler Cologne (Thierry Mugler), Pia prada infusion na prada amber.
Mkuu niko mbal na dar.usiache kucheki bei ya hii kitu chupa nzima club de nuit.nione uwiano wa beiAsante kwa feedback, Wadau wengi wamesema pale JD pharmacy vitu vinapatikana. Ngoja kesho niende kuulizia Kama zitakuwepo ninunue hata kidogo ya kupima nione
Couldn't agree more!! Armaf wapo vizuri sana. Club de nuit intense man ni clone ya Creed aventus. Ina harufu flani ya tofauti saaaana... Inakama kamvuke flani ambako huwezi kukadescribe...Niwe mkweli hii kitu nimeanza kuitumia sina mda mrefu sina uzoefu nayo,kwa harufu nashindwa nikuelezeaje,lakin ni harufu flani fresh and expensive.cha kuhuzunisha haikai kwenye ngozi mda mrefu.naona kama bei hailingani na bidhaa yenyewe.
Lakini kuna ambazo jamaa kaja nazo na nimezijaribu.hakika ni nzuri na nimezoa sifa kedekedeView attachment 479800hii kitu nimejaribu imeniganda siku nzima.pia boss wangu mzungu kaipenda sana na aliuliza ni unyunyu gani natumia.akujua tu nimegongea kwa mselaView attachment 479802club de nuit intense man by armaf.hua najpulizia za jamaa yangu.
Hii ni tatizo man. Katika watu sita nnaokutana nao wawil wanashindwa vumilia wanaisifia,wengine wametaka na jina niwaandikie.kila anaeisikia harufu yake wanamalizika kabisa.na inakaa kwenye(ngozi 8+)nguo zaidi ya masaa 12.
Nimembeleza jamaa aniachie akachukue ingine akisafiri kagoma.kwa mm this is my favourite. Akisafiri lazima nimwagize ya kwangu
Haitokii kwenye nguo mwaka mzima
Bro hii kitu imenipa heshima kwa siku chache.najuta nlizoziagiza sijapendezwa nazo kama hii.kama hii ni clone tu sijui hiyo aventus itakuajeCouldn't agree more!! Armaf wapo vizuri sana. Club de nuit intense man ni clone ya Creed aventus. Ina harufu flani ya tofauti saaaana... Inakama kamvuke flani ambako huwezi kukadescribe...
Ilikia ndio perfume ya kwanza kununua ya armaf. Nataka nicheki perfumes zao nyingine pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kambaHaitokii kwenye nguo mwaka mzima
Wewe ni mmoja kati ya wasambazaji (Chinga). Mtumiaji hawezi andika hvi. Oiframe!!!!!! OrifremOiframe products ndo story ya town
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji4][emoji4][emoji38]yes try it[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kamba