Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

kuna kitu kimoja kinaitwa expraditiopionalitiselition ni shida sana hapa mjini, ukijispray hiyo kitu wadada wote town lazima wakuulize inaitwaje
 
Signature ama Rival .......... kiukweli tukikutana lazima uulizie jina la unyunyu ati. Huwa naziuza pia ukihitaji hata kuisikilizia nicheck whatzup 0673646381
za kike zipo pia ..........My Red au Love Potion
 
[emoji119] [emoji119] [emoji119]
Mkuu wewe utakuwa mkemia wa serikali. Mi nataka inayodumu muda mrefu Ila isiwe na harufu kali sana, please recommend
 
Mkuu hadi hizi brand kubwa wanauza kwa kupima pia?
 
Mkuu hebu nipe mrejesho wa Issey Miyake, harufu yake ni Nzuri na inadumu?
Niwe mkweli hii kitu nimeanza kuitumia sina mda mrefu sina uzoefu nayo,kwa harufu nashindwa nikuelezeaje,lakin ni harufu flani fresh and expensive.cha kuhuzunisha haikai kwenye ngozi mda mrefu.naona kama bei hailingani na bidhaa yenyewe.

Lakini kuna ambazo jamaa kaja nazo na nimezijaribu.hakika ni nzuri na nimezoa sifa kedekedehii kitu nimejaribu imeniganda siku nzima.pia boss wangu mzungu kaipenda sana na aliuliza ni unyunyu gani natumia.akujua tu nimegongea kwa mselaclub de nuit intense man by armaf.hua najpulizia za jamaa yangu.
Hii ni tatizo man. Katika watu sita nnaokutana nao wawil wanashindwa vumilia wanaisifia,wengine wametaka na jina niwaandikie.kila anaeisikia harufu yake wanamalizika kabisa.na inakaa kwenye(ngozi 8+)nguo zaidi ya masaa 12.
Nimembeleza jamaa aniachie akachukue ingine akisafiri kagoma.kwa mm this is my favourite. Akisafiri lazima nimwagize ya kwangu
 
[emoji119] [emoji119] [emoji119]
Mkuu wewe utakuwa mkemia wa serikali. Mi nataka inayodumu muda mrefu Ila isiwe na harufu kali sana, please recommend
Hahaah...

Kitu ambacho wengi hatufahamu ni kuwa kuna perfumes maalumu kwa kila season (fall, winter, spring na summer). Perfumes za winter (na baadhi za fall) huwa zinanguvu sana (most huwa too sweet) kwa sababu kwenye baridi huwa nivigumu kudetect scents. Hizi huwa hazifai kabisa kwa joto letu la bongo (huwa so cloying).
Zinazotufaa ni za spring na hasa za summer. Luckily maduka mengi ya bongo wanauza perfumes za spring na summer, ila baadhi huwa hata na za winter. Ukiona umenunua perfume ambayo harufu yake ni kali sana basi jua sio ya hali za hewa zetu.
Perfume za spring/summer often huwa fresher while za winter/fall huwa sweeter.

Bvlgari aqua (zipo flankers mbalimbali) ni za summer. Gucci pour homme II, dolce and gabanna light blue for men, Roadster cartier, Bleu de chanel, Azzaro chrome, Invictus (paco rabbane) na Versace pour homme ziko poa. Nautica voyahe huwa inahype sana ingawa kwa mimi naona ya kawaida, uzuri ni kwamba sio gharama kama nyingine.

Ukitaka ambazo zinasmell clean, yani unakua unanukia kama umetoka bafuni (sijui jinsi ya kudescribe lakini unanukia usafi) ninazofahamu ni Mugler Cologne (Thierry Mugler), Pia prada infusion na prada amber.
 
Asante kwa feedback, Wadau wengi wamesema pale JD pharmacy vitu vinapatikana. Ngoja kesho niende kuulizia Kama zitakuwepo ninunue hata kidogo ya kupima nione
 
Shukrani sana Mkuu, ngoja nikaitafute hiyo Bvlgar
 
Asante kwa feedback, Wadau wengi wamesema pale JD pharmacy vitu vinapatikana. Ngoja kesho niende kuulizia Kama zitakuwepo ninunue hata kidogo ya kupima nione
Mkuu niko mbal na dar.usiache kucheki bei ya hii kitu chupa nzima club de nuit.nione uwiano wa bei
 
Couldn't agree more!! Armaf wapo vizuri sana. Club de nuit intense man ni clone ya Creed aventus. Ina harufu flani ya tofauti saaaana... Inakama kamvuke flani ambako huwezi kukadescribe...
Ilikia ndio perfume ya kwanza kununua ya armaf. Nataka nicheki perfumes zao nyingine pia
 
Bro hii kitu imenipa heshima kwa siku chache.najuta nlizoziagiza sijapendezwa nazo kama hii.kama hii ni clone tu sijui hiyo aventus itakuaje
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji4][emoji4][emoji38]yes try it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…