Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Mi kwasasa sielewi nimepata ugonjwa gani.na spend pesa nyingi kwenye unyunyu bro
Hako kauogonjwa kakianza ni kagumu sana kukaacha... Luckily nimeweza kutulia kwa sasa ingawa kuna kama mbili tatu za mwisho nataka ninunue then nitulie kabsaaah...[emoji28]
 
Hako kauogonjwa kakianza ni kagumu sana kukaacha... Luckily nimeweza kutulia kwa sasa ingawa kuna kama mbili tatu za mwisho nataka ninunue then nitulie kabsaaah...[emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] baada ya hizo mbili tatu za mwisho.utaongeza tena mbili tatu za mwisho kabisa.huu ugonjwa sidhan kama unapona
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] baada ya hizo mbili tatu za mwisho.utaongeza tena mbili tatu za mwisho kabisa.huu ugonjwa sidhan kama unapona
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
S§[emoji19][emoji40]33 xL
Us baby.... Us baby...

Shng ngap huo mzgo??botega
 
Bro hii kitu imenipa heshima kwa siku chache.najuta nlizoziagiza sijapendezwa nazo kama hii.kama hii ni clone tu sijui hiyo aventus itakuaje
mkuu ukipata jamaa wa dar anaepajua mahal zinakopatikana hizo kitu nishtue plz
 
Kuna mtu namuagiza huwa ananiletea. 212 nilinunua JD Pharmacy 150,000/- ndio nikawaamini.
Hawa majaa naskia wanasifiwa sana.
Soon nitakwenda nadhan hapo ndio nitakua naponea uteja wangu
 
mkuu ukipata jamaa wa dar anaepajua mahal zinakopatikana hizo kitu nishtue plz
Naskia jd pharmacy wanazo ila sijafika bado.kama uko dar jaribu kwenda hapo.
Kama uko smart kimavazi ukijitia na hii clone!!hakika utanitafuta chief unipe asante.
 
Unazitumiaje izo zote kwa wakati mmoja @prondo ?
212 na issey miyake special occassion. Zilizobaki everyday. Ukitumia perfume moja muda mrefu unapoteza sense ya smell yake hapo ndio nabadili.

Pia ukiwa nazo nyingi unakaa muda mrefu bila kununua. Hapo zilipo almost zote zipo below half full ila zitamaliza huu mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…