Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Wakuu tujaribu kuelekezana maduka yanayo uza org coz town kuna maduka mengi yanayo uza utuli lakin mengi yauza utuli unao kaa lisaa limoja

Hivo nivema ukitoa kitu elekeza wapi inapatikana
 
Wakuu tujaribu kuelekezana maduka yanayo uza org coz town kuna maduka mengi yanayo uza utuli lakin mengi yauza utuli unao kaa lisaa limoja

Hivo nivema ukitoa kitu elekeza wapi inapatikana
hakika!
 
ngapi hii?
 
Hivi hizi zinazo uzwa kariakoo ni OG kweli au mchinanga..?
 
Hugo boss,, kurous,, esymiake., x pacco rabanna,, one milioni,,
 
tatizo wengine wanaleta picha za ku google huko kutudanganya hapa..... mi Black Royale inanitosha kunukia kwa mbaaali sio ile hata ukikatiza mita 10 mbali watu wanajua kuwa fulani kapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…