Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

View attachment 360643

Hebu tujuzane hapa aina ya Perfume au Body spray unayotumia!!
Mimi natumia Knowledge Perfume,
Ww jee?

Tuzungumze ukweli jamani kwa sisi wa kipato cha kawaida kutoa malaki kununua perfume inataka ukaze sana roho.

Kama wewe ni mpenzi wa brand perfumes lkn kipato hakiruhusu unaweza kupata clone zake kwa harufu ile ile kwa bei ya chini na inalast 4 hrs hadi 7 kutegemea na mizunguko yako.

Kwa waluopo dar wanaweza kupita kwa wasyria wanauza perfume brand but kwenye chupa nyingine kwa elf 30 hadi 50 lakini ni quality nzuri utakuja kunishkuru baadae.




Chupa yao inakuwa hivi

75ml
 
Dar al shabab ipo vizuri sana hiyo. Kama ni mpenzi wa smell hizo za kiarabu tafadhali jaribu kutumia sheikh al shuyukh au oud wood. Utakuja kupa asante baadae
Yah Dar al shabab ina harufu nzuri sana na pia nikipulizia watu wanaikubali mno. Asante kwa pendekezo nitaitafuta Sheikh al shuyukj au oud wood....

Next week nitakupa mrejesho
 
huu uzi haunifai ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasumbua mjini na kitu cha ECHO sijawahi kujutia kutumia hii bidhaa 30000 ! Nawanyanyasa mjini vibaya mnoooo na hii kitu very amazingly
 
Naipenda sana nililetewa hii, nimeitafuta sana bila mafaniko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…