Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Mkuu humu kuna uzi unaohusu hiyo habari na ilipata wachambuzi wengi kweli kweli utafufute sijui unaitwaje ngoja niutafute hata mimi nilikuwa ninashida iyo nikapata kuanza kununua blue for men perfume nachanganya na spray balaaa lake mungu anajua
Shukrani boss
 
Nimeletewa hii perfume kama zawadi ni yenyewe au utopolo[emoji848]
images%20(23).jpg
 
Kwa anayetaka kununua perfume collection ya smart na jina linamsumbua anaweza kufanya reference hapa.
Smart-Collection1-1.png
Smart-Collection2.png
Smart-Collection3.png
 
Back
Top Bottom