Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Lacoste White ipo vizuri sana, harufu yake ni ile tulivu isiyo na makelele...

Mbadala wake hii unaweza jaribu Calvin Klein euphoria for men, au K-Men ya Dolce&Gabbana au Givenchy Gentleman au Mankind ya Kenneth Cole au pia Mont blanc Legend
upo vizuri,cjui umewezaje kushika haya majina ya perfume.
 
Zote nilizozitaja nimeshazitumia kwa nyakati tofauti na zipo makini sana vile harufu zake hazina makelele...

Kenneth Cole na Calvin Klein Euphoria for men, hizi ndio zaishia ishia...

Sasa hivi nimehamia kwa Zara Vibrant Leather (hii inanukia kama Creed Aventus sikuwa na mpunga wa kuafford Creed) na Zara Night Pour Homme II Sport Zara

IMG_20210206_172517.jpg
 
Lacoste White ipo vizuri sana, harufu yake ni ile tulivu isiyo na makelele...

Mbadala wake hii unaweza jaribu Calvin Klein euphoria for men, au K-Men ya Dolce&Gabbana au Givenchy Gentleman au Mankind ya Kenneth Cole au pia Mont blanc Legend
Boss ziandike na bei zake aisee
 
Zote nilizozitaja nimeshazitumia kwa nyakati tofauti na zipo makini sana vile harufu zake hazina makelele...

Kenneth Cole na Calvin Klein Euphoria for men, hizi ndio zaishia ishia...

Sasa hivi nimehamia kwa Zara Vibrant Leather (hii inanukia kama Creed Aventus sikuwa na mpunga wa kuafford Creed) na Zara Night Pour Homme II Sport Zara

View attachment 1696025
Hii inapatikana wapi kwa Bongo na bei gani kama vipi nijibu PM
 
Back
Top Bottom