Hii kitu niliwahi kuitumia miaka ya nyuma enzi zile forever living imetamarakiNatumia hii kitu for years na haijawahi niangusha popote..View attachment 1719331
SanitizerMi nauliza ile harufu wazungu wananukia ni perfume au harufu ya ngozi zao maana wananukia hivyo karibia wote
Kabisa ni sanitizer piaSio perfume, ni mafuta(nikama antibacterial) wanapakaa wakija sana kwenye nchi za ki tropical...
Ni ya aina gani mkuuSanitizer
Hauna maajabu yyt mm ninaziuza zinauzia jina tu lakin c nzuriFyn By Falsafa
Mzigo ni hatari huo.
Inauzwaje hii kwa hapa bongo
Nimenunua juzi tena naona harufu tofauti Hakuna kitu tena Kama mwanzoHauna maajabu yyt mm ninaziuza zinauzia jina tu lakin c nzuri
Bei gn hiiiNatumia hii kitu for years na haijawahi niangusha popote..View attachment 1719331
Mkuu hii ni signature tu@Siempre Hechos hii qoutes umeiwekaje baada ya comments, napenda kujua.
"A daughter will eventually turn her family home into a Museum while a son will turn into a Fishing Pond " by Siempre Hechos, 2020.
@Siempre Hechos hii qoutes umeiwekaje baada ya comments, napenda kujua.
"A daughter will eventually turn her family home into a Museum while a son will turn into a Fishing Pond " by Siempre Hechos, 2020.
unaipata kwa wap mm natumia jf ya webMkuu hii ni signature tu