Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Vip hii na blue for men au magnetic ipi Nitumie cheif?

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Blue 4Men ndo the best!

Kama unataka perfume isiyomkera jirani yako yaani ile inanukia kwa mbaali halafu kwa kiwango yaani haikeri chukua hii but kama unataka alimradi umenukia tu chukua tofauti na hii.
 
Kama Unapenda ya harufu ambayo ukipita mtu aiskie ni magnetic na kama unapendelea ile haruf ambayo wataoiskia ni wale utaokaa nao karib chukua mousuf(hii inakaa masaa mengi kweny nguo)
Mkuu Blue 4Men umeitoa kwenye list yako ya perfumes zenye kiwango?

Nashindwa kuiacha nimekuwa najaribu nyengine nyengine ila sipewi sifa za nikitumia Blue,au napigwaga famba?
 
Mkuu Blue 4Men umeitoa kwenye list yako ya perfumes zenye kiwango?

Nashindwa kuiacha nimekuwa najaribu nyengine nyengine ila sipewi sifa za nikitumia Blue,au napigwaga famba?
Ni blue for men au BLEU DE CHANEL?
 
Mkuu Blue 4Men umeitoa kwenye list yako ya perfumes zenye kiwango?

Nashindwa kuiacha nimekuwa najaribu nyengine nyengine ila sipewi sifa za nikitumia Blue,au napigwaga famba?
Blue4Men iko vizur mkuu, wala sijaishusha hadhi ila tu unaweza tumia perfume kibao lakin ukatokea kuikubali zaid moja.
 
Nimepita kwenye uzi huu nikakutana na hii recommend yako. Hapa nakumbuka nilibahatika kudaka Polo Red ndio since then sijawahi kuiacha hadi leo. Umetisha sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…