Tripper
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 778
- 1,522
Shngapi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei mkasi sana hiyo kwa wabongo wengi mtihani
Ya kupima hiyo?32000 mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm huwa natumia nivea for men, nikiwa na fwedha, nisipokuwa na fwedha natumia dawa ya mbu inatosha
ova
Cjajua mm amenipa na box lake likiwa halijafungiliwa popote, ila nahis itakuwa first copyYa kupima hiyo?
Sidhani kama first copy inauzwa bei hiyo. Creed ya 100ml inauzwa kuanzia USD 200 kwenda juu tena bei hii ukinunulia nje ya nchi.Cjajua mm amenipa na box lake likiwa halijafungiliwa popote, ila nahis itakuwa first copy
Ipo miniBei mkasi sana hiyo kwa wabongo wengi mtihani
SawaSidhani kama first copy inauzwa bei hiyo. Creed ya 100ml inauzwa kuanzia USD 200 kwenda juu tena bei hii ukinunulia nje ya nchi.
25k boss..!
Bei yake?Kuna hii mpya inaitwa Tom Ford ni balaa .Hili ndo chimbo langu jipya. View attachment 1946133
Laki nne chupa yenye 100ml.Hapo unatumia mwaka mzima. Maana inakaa sana kwenye nguo. Siku zingine hakuna sababu ya kujiperfum.Bei yake?
Ya kupima au?32000 mkuu
Wewe unatumia nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Store gani hapa bongo ushanunua cologne au fragrance na ukaona wanauza authentic product??Laki nne chupa yenye 100ml.Hapo unatumia mwaka mzima. Maana inakaa sana kwenye nguo. Siku zingine hakuna sababu ya kujiperfum.