Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Mimi natumia AXE but kuna perfume moja nilipewaga zawad na mtu wa ujeruman inaitwa VANITAS, ni balaa, yan had ofisin walijua kama nimespray something new n waliipenda, pia hata ukiifua nguo wakati wa kunyosha kile kiharufu chaja, unfortunately sijawahi kubahatika kuipata madukani hapa dar licha ya kuuitafuta sana na huyo wa ughaibun kasharudi bongo, please kama kuna mtu anaifahamu au anajua inapopatikana please let me know, I am ready to buy at any price less than 150k.
Angalia hapo hiyo VANITAS ni https://www.perfume.com/versace/vanitas/women-perfume
 
Nkamu nimelipata lile duka la perfume za kupima,naomba unitajie perfumes 3 nzuri
[emoji4]

Poison Girl - Dior
J’adore - Dior
La vie est belle

angalia pia na black opium ila mimi sikuipenda niliona nimepoteza hela yangu.
 
Back
Top Bottom