Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Kitu cha Versace.

IMG_1487357256.228401.jpg
IMG_1487357362.984641.jpg
 
Nataka kununua isey miyake mtandaon.kwa uzoefu upi mtandao mzuri wa kufanya manunuzi

Bora ununue hapa hapa. Otherwise cost itazidi kulikoni ungenunua hapa bongo. Bei yake hapa bongo ni 160K wengine wanauza hadi 180K. Ila naweza kukuapatia Original kwa 180K.

Karibu.
 
Bora ununue hapa hapa. Otherwise cost itazidi kulikoni ungenunua hapa bongo. Bei yake hapa bongo ni 160K wengine wanauza hadi 180K. Ila naweza kukuapatia Original kwa 180K.

Karibu.
Bro duka liko maeneo gani?nikiwa free nifike
 
Sijipulizii pafyum kwani huwa zinanifanya nijisikie vibaya sababu ni kwakua huwa naona zinatumiwa sana kupulizia mwili wa marehemu inshort sipendi manukato ya aina yoyote ile.
mkuu mimi na wewe ni marehemu watarajiwa, unaonaje tukijipulizia kabla ya kupuliziwa tukiwa marehemu kamili [emoji12] [emoji12]
 
Samahani Wakuu,Creed, Botega Venetta,Versace ,Polo Black which one kwa 140,000/naweza pata???na ni sehemu gani dar??0758216382
 
Udv niliitumiaga miaka tisa iliyopita niliiacha sababu inaharufu kali yaani ukiipaka ukaingia sehemu kilamtu anaisikia
Napenda harufu BARIDI
Ni udv ipi hiyo.udv black, udv for men, udv actio, udv spot, udv extreme ama ip mkuu?
 
Back
Top Bottom