Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Sijachukua Mkuu. Issey Miyake, bvlgari, Invictus hizi zote hawana. Wana perfume nyingi za kike.
JD ya wapi umeenda? Umeenda ya Village Walk Masaki? Jaribu Diamond Plaza ground floor, ukikosa nenda Quality Centre griund floor karibu na escalator upande wa kulia kuna duka la fragrance.

All in all hakuna duka bongo litakuwa na varieties kama maduka ya Dubai,London,New York.
 
Nimeenda JD ya mlimani city, ngoja Ntajaribu kufika hizo ulizoelekeza
 
Katikati hapo nimeweka signature Kiranga wazee wa forensics wanaweza kuiona.

Hili bafu la juu tu.
Mbona kama duka LA dawa na vipodoz?[emoji102]
Kuna rafiki yangu hivi alikua anatumia perfume inaitwa AIG.. Ipo kwenye chupa nyeusi hivi... Nilitafuta Dar nzima hakuna.. Ila yeye anasema aliinunua Arusha laki 350... Asee ile kitu ni baraaaa
 
c2d6b1647801d5e0b98f69029faf8c9f.jpg
Fake Fake Fake Bablai...
 
Back
Top Bottom