Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

ivi jamani kuna spray inaitwa" touch me " ivi ni ya kike au ya kiume
 
Aisee niliwahi kutembelea maonesho ya biashara ya wa-Syria pale Diamond jubilee,asikwambie mtu bhana wale jamaa wanauza perfumes za ukweli tena kuna nyingine wanakuchanganyia pale pale.Ni zile perfumes ambazo hazijachakachuliwa,ni OG kabisa.Nilijuta kwenda bila pesa,lkn popote nitakapowasikia nitawafuata maana perfume zao nahisi ukipulizia mpaka mwakani unanukia tu.
Bei zao zikoje
 
Thanks kwa mrejesho mkuu. I hope haijakutoka pesa mingi
Pesa ni ya kawaida.niliwasiliana nao.wamenibadilishia wakanipa clone ya 212 sema kwa mimi sijawai tumia 212.so sina uhakika kama zinafanana 212 OG.lakini nimeielewa kwa kiasi flani
 
Knowledge
Romance
Hapo ndio napofikia kwa sasa kiuchuni kwani bei za hizo perfume nazimudu na huwa nazipenda sana
 
Chibu perfume is the best, try this!
 

Attachments

  • chibu-perfume.png
    chibu-perfume.png
    31.1 KB · Views: 148
Ni duka gani hapa dar wanauza haya manukato original..?
Vipi hapa kariakoo zote ni fake au?
 
Back
Top Bottom