Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

kwa wapenzi wa pafyum ya Shelis,, hii kitu bei ndogo lakini noma sanaa, ngoja leo nkaichukue
 
Perfume ni uchawi wa ajabu sana. Ukivaa perfume ya ukweli ata kama mifuko ni mitupu utaonekana unatilikika pesa mifukon. Washikaji watakuheshimu mademu watakuzimia na wengine kukufia ata kama sio handsome.

Unataka pafyumu za kibepari zisizo na kelele, cheki hizi hapa

Encounter by Calvin Klein

A Men by Thierry Mugler

Polo blue by Ralph Lauren

Polo Red by Ralph Lauren

Lacoste Noir

Artisan by John Varvatos

Hizi ni balaa tupu achana na cologne za kibongo fleva hizi unakuwa Don, sumaku ya kina dada.. Yani mtu akikusogelea anaona mapesa tu kwako.
Mkuu ungetuwekea na bei ungekuwa umedadavua vyema zaidi.
 
Mi natumiaga vile vya buku buku vyenye kigoroli cha ku -scroll kwenye shati
 
Kwa sasa...
20180312_121532.jpg
20180312_121708.jpg
 
Back
Top Bottom