Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

mwenye kuju pahali ambapo ALLISON PERFUMS zinapatikana anijulishe ..
 
Perfume gan hiyo?
Weekend iliyopita nlienda kwa shemu wangu, nlikaa kwa sofa lake ule mtindo wa kujimwaga,,, basi juzi mshakaji wangu ananitania usije kwangu maana umeacha harufu yako, mamaa kila akikaa ktk lile sofa lazima aseme naskia harufu ya kush[emoji23],,


Shemu ananiambia niende tena nikaongeze harufu yangu,,

Nikacheka tu
 
Yes...ipo sababu

Kwa hizi sms zako hauko romantic kabisaaaaa

fKtU_u2R_400x400.jpg
 
Back
Top Bottom