Tujuzane bata la nje na ndani ya nchi

Tujuzane bata la nje na ndani ya nchi

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Habari,

Husika na kichwa cha habari,

Huu uzi ni maalumu kwa kupeana maujanja ili kujua maeneo ya kula bata ndani na nje ya nchi na vituko vya bata batani.

Pia kuelezana vinywaji, vyakula vinavyopatikana sehemu husika.

Bila kusahau vimbwanga na shangwe linalokuwa linapatikana katika eneo husika.

Kama ilivyo baada ya kufanya kazi nyingi katika juma basi watu huamua kuchagua maeneo mbalimbali kwa ajili ya kujiachia na kufurahia weekend.

Wengine wanakwenda bar, wengine club, wengine kwenye fukwe za bahari ilimradi kula bata batani.

Wengine huenda mpaka nje ya nchi huko Dubai, South Africa na nchi nyingine, huko hutupigia mipicha ili tuwaone.

Yote hayo hufanyika ili kuenjoy maisha.
 
Mimi napenda kujua viwanja vikali kwa sasa Dar, Zanzibar, Arusha, Mwanza.
Karambezi

AAB1D5BB-AC5B-4F19-8648-34EDE40766D8.jpeg


Barometer

2DF30C16-CCC6-41E0-B89E-C29A9E08B5FC.jpeg


84F69F63-CA1F-49F7-91EB-CD31A7914BF5.jpeg
 
Kama unapenda sehemu tulivu, basi hizo ni sehemu za kuzicheki.

Kama unapenda msongamano wa watu na vurugu, nenda Kitambaa Cheupe ya Sinza [emoji1787].

It’s lit every day of the week and twice on Sunday!!
Kitambaa cheupe iko wapi Sinza?

Mimi nakwenda kote kote kuangalia tu mji umeendeleaje.

Karambezi /Sea Cliff unanikumbusha kulikuwa na kuku fulani safi sana miaka ileee.

Sinza nishaenda sana Checkpoint, siku nyingine nilikuwa napiga mpaka muziki.

Nacheza kote kuanzia Doubletree mpaka Tabata Ubaya Ubaya.
 
Kwangu naona viwili

The Mayan kwa huku walau mara mbili kwa juma sio mbaya kwa afya kama kazi hajizatight.

Kibongo bongo nilienda sehemu inaitwa Governors sijui kama bado ipo..
 
Kitambaa cheupe iko wapi Sinza?

Mimi nakwenda kote kote kuangalia tu mji umeendeleaje.

Karambezi /Sea Cliff unanikumbusha kulikuwa na kuku fulani safi sana miaka ileee.

Sinza nishaenda sana Checkpoint, siku nyingine nilikuwa napiga mpaka muziki.

Nacheza kote kuanzia Doubletree mpaka Tabata Ubaya Ubaya.

Kidimbwi umefika?
 
Hii Upepo pande gani hizi?

Kule Mikadi Kigamboni kuko vipi siku hizi?
Upepo Garden ipo barabara ya Ally Sykes….huku mbezi chini.

Kigamboni kuna machimbo mengi tu.

Chimbo jipya ni The Giant:

979BC739-AB23-47E9-AE08-ED9B18685160.png


Kuna Pweza pia….

42523171-6C39-48D2-9532-362F01F54E8F.jpeg


Ila ukienda hizi sehemu…..iwe Karambezi, Cape Town Fish Market, EB 25, etc., agiza vyakula local.

Ukiona sijui ‘succulent chicken wings’, bbq baby back ribs, juicy burgers, and whatnot, take it from me, don’t order any of that shit.

For, you’ll most likely be disappointed. It’s nothing like you’re used to.

Vinywaji, it’s ok. Kwa sababu vingi vinaagizwa toka nje.

Ila hizo burgers na sijui chicken wings…..nah!
 
Back
Top Bottom