Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Habari,
Husika na kichwa cha habari,
Huu uzi ni maalumu kwa kupeana maujanja ili kujua maeneo ya kula bata ndani na nje ya nchi na vituko vya bata batani.
Pia kuelezana vinywaji, vyakula vinavyopatikana sehemu husika.
Bila kusahau vimbwanga na shangwe linalokuwa linapatikana katika eneo husika.
Kama ilivyo baada ya kufanya kazi nyingi katika juma basi watu huamua kuchagua maeneo mbalimbali kwa ajili ya kujiachia na kufurahia weekend.
Wengine wanakwenda bar, wengine club, wengine kwenye fukwe za bahari ilimradi kula bata batani.
Wengine huenda mpaka nje ya nchi huko Dubai, South Africa na nchi nyingine, huko hutupigia mipicha ili tuwaone.
Yote hayo hufanyika ili kuenjoy maisha.