Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

Salam kwenu.

Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua

Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
soga sidhan kama unamfahamu.
 
Salam kwenu.

Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua

Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
Kwangu mimi Sato ni Habari nyingine.. japo Kuna wengine wa mayai sikumbuki jina wao pia wanabamba sana
 
Unamfahamu Kuhe wa Ziwa Tanganyika wewe. Huyo ndiye mfalme wa samaki, kuku wa majini. Akiwa fresh, kunywa supu yake mapema asubuhi pale Mpanda utafurahi sana
 
Salam kwenu.

Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua

Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
Hawa hapa
1. Songoro
2. chewa
hawa samaki ni watamu sana
 
Back
Top Bottom